GWAJIMA ATEMBELEA CLOUDS KUWAPA POLE

 Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Askofu Josephat Gwaji wapili kushoto, akizungumza katika ofisi za Clouds baada ya kuwasili kwa ajili ya kuwapa pole ya kuvamiwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es SAalaam huku akiwa na Askari wenye silaha hivi karibuni


 Hapa Kushoto akiwa na Mkurugenzi wa Uzalishaji vipindi wa Clouds Ruge Mtahaba
Akitoka baada ya kuwapa pole

Comments

Popular posts from this blog

AMANI YETU TUILINDE NAIBU WAZIRI CHANDE AZUNGUMZA KATIKA IJITIMAI JIJINI DODOMA

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.