SAID MRISHO ALIYETOLEWA MACHO NA SCORPION

 Said Mrisho, anayedaiwa kutobolewa macho na  Salum Henjewele almaarufu kwa jina la  (Scorpion), akiwa na mama yake mzazi mabibo jijini Dar es Salaam, alipokuwa akizungumza na wanahabari kuhusu mkasa ulivyomkuta siku hiyo, anadai kwamba siku hiyo alikuwa na Sh 300,000 alizokuwa amezikusanya kwenye saloon ambazo anazisimamia zaidi ya tatu, anasema kilichomponza ni kwenda Buguruni kununua kuku kwa ajili ya familia yake ndipo akakutana na mbaya wake alipomuona mfukoni kumetuna akaza kumchoma visu  na bisibisi, na watu waliokuwa hapo wakifanya biashara zao hawakutoa msaada wowote pamoja na kumd]fahamu huyo mtu kwamba kumbe ni muuaji , niliwasikia wakisema huyu mtu kaua watu zaidi ya wanne wanamwita ni mbabe wa mtaa. Mrisho anadai pamoja na kuchomwa visu na kupigwa na kutubwa barabarani ili akanyagwe na gari gari la polisi lilipita zaidi ya mara mbili eneo alilokuwa amelala hawakutoa msaada wowote hatimaye akamludia na kuanza kumtoboa macho. Anaomba wasamalia wema wamsaidie aende kutibiwa nje ya nchi , alipoenda KCMC wanadai akiwahi matibabu anaweza kuona japo kidogo anawatoto watano na mke mmoja.
Mrisho akiwa na mama yake mzazi pamoja na mkewake na mtoto wake




Akiwa amezungukwa na ndugu zake  pamoja na kuwepo mke mama na mwanae

Comments

Popular posts from this blog

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.

AMANI YETU TUILINDE NAIBU WAZIRI CHANDE AZUNGUMZA KATIKA IJITIMAI JIJINI DODOMA