SHIRIKA LA VIWANGO TBS LAKUTANA NA WADAU WA UBORA WA VIWANGO WA TAASISI ZA SERIKALI NCHINI

 Askari Polisi wilaya ya Kinondoni, akilinda gari na mzingo wenye chupi na sidiria zilizokamatwa na shirika la Viwango TBS zikiuzwa katika eneo la manzese Bhakheressa, msako huo uliendeshwa na maofisa wa shirika hilo na wamesema hakuna kulala msako kila kona na anayekamatwa anafunguliwa mashtaka kwa kuuza bidhaa zilizopigwa marfuku kuingizwa nchini





Afisa Mwakilishi wa Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa (UNEP) Tanzania, Clara Makenya, akizungumza na waandishi wa habari baada ya kuwasilisha mada katika mkutano wa wadau wa Ubora wa viwango kutoka taasisi za Serikali wanaokutana jijini Dar es Salaamchini ya udhamini wa TBS. 


Majengo na mubofu, wakiteta 
 Afisa habari wa TBS, Rhoida Andusamile, akizungumza utaratibu wa warsha hiyo ya siku mbili iliyoanza leo jijini dar es Salaam
 Baadhi ya watoa mada  wakiwa katika  warsha hiyo
 Wadau wakisikiliza ufunguzi

Afisa Biashara wa Shirika hilo Grady, akisikiliza kwa makini ufunguzi




 Makenya, akisoma hotuba yake kabla ya mgeni rasmi kukaribishwa kuisoma


Mkurugenzi wa Biashara na Masoko wa Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji Odiro Majengo, akifungua warsha ya sikumbili iliyowakutanisha wadau wa ubora wa viwango na mazingira kutoka taasisi za Serikali, mktano huo unafanyika Dar es Salaam. Katikati ni Kaimu Mkurugenzi wa Shirika la Ubora wa Viwango TBS, Mhandisi Dk. Egid Mubafu na kulia ni Mtendaji Mkuu wa Tume ya Ushindani Dk.Frederick Ringo

 Rhoida na  Grady, wakifuatlia mkutano huo



Comments

Popular posts from this blog

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.

AMANI YETU TUILINDE NAIBU WAZIRI CHANDE AZUNGUMZA KATIKA IJITIMAI JIJINI DODOMA