JENERALI MWAMUNYANGE AWAAGA MAKAMANDA WAKE LEO

 Aliyekuwa mkuu wa jeshi la Kujenga Taifa JKT, Mejja Jenerali Muhuga, akipokea saluti wakati wa kuagwa kwake katika utumishi wa jeshi ul;iofanyika kikosi cha Twalipo jijini Dar es salaam leo. Jumla ya Maluteni Jenerali wawili waliagwa, Mameja Jenerali sita na Mabrigedia Jenerali nane
 AKIKAGUA PAREDI


 Meja Jenerali Joseph Kapwani alikuwa mkuu wa Kikosi cha Anga
 Meja Jenerali Mustafa Kijuu, alikuwa Mkuu wa kikosi cha Nchi kavu
Luteni Jenerali Paul Ignas Meela, akiwasili viwanja vya kambi ya Jenersali Twalipo kwa ajili ya kuagwa leo
 Akikagua paredi ikukbukwe kwamba alikuwa Kamanda wa majedhi ya UN pia
 Akipokea saluti
 Askari wakipita mbele yake

 Baadhi ya famulia za waagwa
 Wakitoa kiapo kwake
Akisalimiana na Mnadhimu wa Jeshi hilo Luteni Jenerali Charles mabeyo na Kushoto ni Jenerali Mwamunyange
 Brasibendi ikimuaga pia



 Wakipokea saluti


 Askari wakishuhudia

 Al;iyekuwa Mnadhimu Mkuu wa Jeshi Samuel Ndomba, akikagua paledi

 Akikagua brasibendi
 Paledi ikipita mbele yake kwa ajili ya kuagwa
 Akipokea saluti  wakayi kikosi cha bendera kikipita

 Kikosi cha nchi kavu
 Kikosi cha Anga kikipita
 Kikosi cha maji
 Kikosi cha Bendera

 Kikosi cha Jeshi la Kujenga Taifa
 Ndomba akisalimiana na Mwamunyange
 Picha ya pamoja na Ndomba

 Mwamunyange na Brigedia Jenerali Simule  huyu alikuwa msaidizi wa Rais Benjamin Mkapa  kwa kipindi cha utawala wake
 Picha ya pamoja na Luteni Jeneali na Mameja Jenerali waagwa
 Picha ya pamoja na waagwa wote Luteni Jenerali, meja Jenerali na Mbrigedia Jenerali
 Wakuu wa wa majeshi wastaafu wakiwa na Mwamunyange. Kushoto ni Luteni Jenerali Robert Mboma na Luteni Jenerali Mwita Waitara
 Mameja jenrali wastaafu wakipiga picha
Akiagana na Meja Jenelari balozi Martine Mwakalindile na kulia ni Meja Jenerali Mstaafu Hamis Semfuko

 Picha ya pamoja na familia za wastaafu ya Ndomba
 Ya Meela










 Wakiteta mkuu wa majeshi na mnadhimu wake



 Mabrigedia Jenerali wakisukumwa na wenzao kutoka nje ya kambi ya Twalipo baada ya kuagwa
Mabrigedia Jenerali wakisukumwa na wenzao kutoka kambi ya Twalipo
 Mameja Jenerali wakisukumwa na wenzao kutoka kambi ya Twalipo

 Ma Luteni Jenerali wakisukumwa na wenzao kutoka Kambi ya Twalipo baada ya kuagwa









 Wakipigiwa bigula la kuwaaga rasmi
 Akimpatia Ndomba kitambulisho cha uraiani baada ya kulejesha cha jeshi
 Akimtania ngoja nikiangalie huenda kikawa cha bandia hiki
 Akamkabidhi cha uraiani

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama (JWTZ), Jenerali Davis Mwamunyange (kushoto) na Mnadhimu  Mkuu wa Jeshi, Luteni Jenerali Charles Mabeyo (katikati), wakifurahia jambo na aliyekuwa Mnadhimu wa Mkuu wa Jeshi hilo, Luteni Jenerali Samuel Ndomba, wakati wa hafla ya kuagwa baada ya kustaafu rasmi jana iliyofanyika Kambi ya Twalipo , Dar es Salaam leo
 Akimkabidhi kitambulisha Meela



 Haya ndiyo magari waliyokabidhiwa wastaafu baada ya utumishi wao uliotukuka katika jeshi hilo

 Mabeyo akiagana na makamanda wake

Comments

Popular posts from this blog

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.

AMANI YETU TUILINDE NAIBU WAZIRI CHANDE AZUNGUMZA KATIKA IJITIMAI JIJINI DODOMA