MSIBA WA KANARI KIMBAU

 Rais Mstaafu Ali hassa Mwinyi (kushoto), akiteta jambo na mzee kingunge Ngombare Mwiru mazungumzo hayo yalifanyika nyumbani kwa marehemu kanari Ayoub Shomari Kimbau aliyefariki na kuzikwa wilayani Mafia

 Mbunge wa Kinondoni Idd Azan akizungumza na wananchi waliofika katika msiba huo

 Luteni Jjenerali Iddi Ghahu, akizungumza na mtoto wa kimbao Shomari
 mzee Mwinyi akitoka msibani

 mzee kingunge nae anaagana na wanafamilia

 Mtoto wa marehemu akizungumza na viongozi wa ccm mkoa wa Dar es salaam


 Mke wa marehemu na familia yake wakiomba kabla ya jeneza kupelekwa mafia








 Wajukuu wa marehemu wakiwa hawayaamni macho yako


 Askari wakiwa tayari kubeba jeneza





 UZINDUZI WA HEINEIKEN BIA CHUPA KUBWA NCHINI ZAFANA JIJINI DAR
Ongeza kichwa
 Jim kabwe, akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa chupa yenye mililita 500 ya bia aina ya Heineken uzinduzi uliofanyika jijini dar es salaam

 Sehemu ilipohifadhiwa bia hiyo
 Dj White, akikafanya mambo yake kwenye uzinduzi huo
 Meneja wa Kinywaji hicho nchini John Dandi, akizungumza katika uzinduzi huo



 meneja mkazi wa bia hiyo nchini Michael Mbungu (kulia0, akizindua bia hiyo na kushoto ni viongozi wa Jaki's Pab Iren Justine na Godwi Leonce

























































Comments

Popular posts from this blog

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.

AMANI YETU TUILINDE NAIBU WAZIRI CHANDE AZUNGUMZA KATIKA IJITIMAI JIJINI DODOMA