BAADA YA KUZINGIRWA NYUMBANI KWAKE NA DIFENDA SITA HATIMAYE GWAJIMA AELEKEA POLISI

 Gari lililombeba Askofu wa kanisa la ufufuo na Uzima likitinga katika kituo cha kati jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kupelekwa katika mahakama ya hakimu Mkaazi kisutu

 Akiwa na mmoja wa mawakili wake asiyeona Amon Mpanju







 Gwajima, Kushoto

 Askari kanzu akiwaelekeza


 Waumini wake hawakumwacha pekee

 Wakishangilia baada ya kuachiwa kwa dhamana

 Askari wakiangalia usalama
 Mmoja wa mawakili wake wakizungumza na waandishi wa habari




WAAFRIKA KUSINI WAKICHOMA NYUMBA ZA WAGENI NA KUIBA BIDHAA  ZAO KWENYE MADUKA
 
 wAKIIBA  bidhaa kutoka kwenye duka walilolivunja
Wakimsurubu mmoja wa mwananchi waliyemshuku siyo mwafrika kusini, wamesahau uhuru wanaoutumia sasa waliupata baada ya baba ba babu zao kuhifadhiwa kwenye nchi walizotoka hawa wanaowatesa sasa

Comments

Popular posts from this blog

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.

AMANI YETU TUILINDE NAIBU WAZIRI CHANDE AZUNGUMZA KATIKA IJITIMAI JIJINI DODOMA