IBAADA YA KRISMASI DAR
Waumini wa Kanisa la Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ,wakifuatilia ibaada ya krismasi ilioyokuwa ikiongozwa na Askofu wa Anglikana Dayosisi ya Zanzibar, Michael Hafidhi Watoto wakifuatilia ibada hiyo Aliyekuwa Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, Fedrick Msigala, akisikiliza mahubiri ya Siku Kuu ya Krismasi katika Kanisa la Anglikana la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Wanakwaya wakifanya vitu vyao wakati wa ibaada