IBAADA YA KRISMASI DAR
Waumini wa Kanisa la Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) Chuo Kikuu cha Dar es Salaam,wakifuatilia ibaada ya krismasi ilioyokuwa ikiongozwa na
Askofu wa Anglikana Dayosisi ya Zanzibar, Michael Hafidhi
Watoto wakifuatilia ibada hiyo
Aliyekuwa Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, Fedrick Msigala, akisikiliza mahubiri ya Siku Kuu ya Krismasi katika Kanisa la Anglikana la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam
Wanakwaya wakifanya vitu vyao wakati wa ibaada
Comments
Post a Comment