Posts

Showing posts from November, 2026

SPIKA ZUNGU ASIFU UBUNIFU WA VIJANA WA MKENDA ATAKA MAMILIONI YA RAIS SAMIA YAWAFIKIE NA WAO

Image
Spika wa Bunge Mussa Azzan Zungu (kulia), akizungumza na vijana wabunifu kutoka vyuo Vya Nelson Mandela, Chuo Kikuu Mbeya, Dar Tech na Costech , Spika amemsifia Profesa Mkenda kwa kuwatia moyo wabunifu hao ambao sasa watakuwa tegemeo kwa Taifa. Ameitaka Serikali  muda umefika sasa wabunifu hawa kusaidiwa kuendeleza ubunifu wao na fedha zinazotolewa na Rais Dkt Samia Suluhu Hassan zitumike kuendeleza ubunifu wao ambao utakuwa na manufaa kwa nchi, Taasisi za Ndani na Nje ya nchi ziwaangalie kwa macho mawili kusambaza ubunifu huu. Maonyesho hayo yanafanyika viwanja vya bunge jijini Dodoma. Profesa Mkenda amesema vijana hao wataendelezwa kwa hali na mali ili Taifa lijivunie ugunduzi wao Mbunge Amos Maganga, akiangalia bidhaa za wabunifu  Akizungumza na wanahabario baada ya kutembelea mabanda ya wabunifu hao