Posts

Showing posts with the label MICHEZO TANZANIA

YANGA DODOMA WAMKALIA KOONI KARIA WADAI ANAURAIA WA KITABU ANATAKA KUHARIBU LIGI YAO

Image
  Mwanachama wa Klabu ya yanga na Mzee wa Klbau hiyo mkoani Dodoma Boda Awadhi (katikati), akizungumza na wanahabari kuhusu sakata la kutofanyika Darby ya Kariakoo iliyosbabishwa na Klabu ya Simba ikishirikiana na Kamati ya usimamizi wa ligi  na kumshushia zigo la lawama  Rais wa TFF Wallace Karia . Karia ambaye hakuwepo wakati sakata hilo likitokea alikuwa nje ya nchi ambapo baada ya kuwasili nchini akiwa katika uwanja wa ndege akizungumza na wanahabari akaanza kuwaponda viongozi wa klabu ya Yanga.   Wakizungumza kwa nyakati tofauti katika mkutano huo uliokusanya viongozi wa Matawi 50 ya mkoa huo wamemtahadhilisha Rais huyo kuwa Yanga siyo Clabu ya kuchezea na kwamba awaulize walioichezea walikoishia. Viongozi wa Matawi kupitia mratibu wao Elisha Gwanda walisema "Karia kama Mlezi wa klabu zote alipaswa kufika nchini na kuanza kusikiliza pande zote na siyo kufika na kuropoka akiwa uwanja wa ndege", amesema Gwanda kuwa alianza kuwalaumu viongozi wa yanga  kuwa wa...