Posts

Showing posts from September, 2016

YANGA NA SIMBA KESHO NANI MBABE

Image
Kikosi chsa timu ya yanga, kinachotalajiwa kuingia dimbani leo kupambana na watani zao simba kesho ni kesho nani atalala mapema  Kikosi cha timu ya Simba kilixhojaa vijana je wanauwezo wa kubaniliana na kaka zao hadi dakika 90  Wachezaji wa yanga wakimsikiliza mwalimum wao  Wakichapa mazoezi  Wachezaji wa simba wakiwa benchi  mashabiki hawa wataendeleza furaha yao hivi kesho taifaa yanga je nao wataendelea kuwatambia watani zao ambao wanarekondi ya kuwafunga mara nyingi tangu waanze kukutana

MELI KUBWA ZAIDI DUNIANI YATUA BANDARI YA DAR ES SALAAM LEO

Image
JUHUDI za serikali kuifufua Bandari ya Dar es Salaam na kuifanya kuwa ya ushindani zimenoga ambapo sasa imefungua milango kwa meli kubwa zaidi kutia nanga katika bandari hiyo. Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari (TPA), Mhandisi Deusdedit Kakoko (PICHANI),alisema hayo jana jijini Dar es Salaam   mara baada ya manahodha wa Mamlaka hiyo kufanikiwa kuingiza meli kubwa zaidi katika historia ya bandari hiyo yenye urefu wa mita 261. Alisema meli hiyo iitwayo MV Hammonia Grenada ina uwezo wa kubeba makasha 4,256 imetia nanga katika bandari ya Dar es Salaam na kushusha makasha 483 na kupakia makasha 656 kabla ya kuelekea nchini Thailand.   “Milango sasa ipo wazi kwa meli kubwa zaidi kutia nanga katika Bandari ya Dar es Salaam, kwani teknolojia ya meli za kisasa inaruhusu,” alisema. Alisema mbali na teknolojia iliyotumika kutengeneza meli hizo, Mamlaka imeboresha ujuzi wa manahodha wake baada ya kuwapeleka katika nchi za Afrika Kusini, Denmark na Ufaransa kupata maf

MBOWE ATEMA CHECHE LEO

Image
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Freeman Mbowe akizungumza jijini Dar es Salaam jana. Kuhusu kuahilishwa kwa maandamano na mikutano iliyopangwa kufanyika Mwezi huu  Akisisitiza jambo mbowe  Akiwapungia mkoni baadhi ya viongozi wa chama hicho baada ya kuzungumza na wanahabari Katibu Mkuu Dk. Mashinji, akiagana na Naibu katibu Mkuu Zanzibar, Salum Mwalimu baada ya kumalizuika mkutano huo

LIPUMBA BADO AMDIDIA MAALIM SEIF

Image
Wafuasi wa mwenyekiti wa Chama cha Wananchi CUF, aliyefukuzwa Profesa Ibrahim Lipumba, akibandika picha ya kiongozi huyo inayohamasisha chagua lipumba haijulikani kwa uchaguzi gani sasa.  Profesa Lipumba, akisalimiana na wafuasi wake wakati akitoka ofisini kwake kwenda kuzungumza na wanahabari leo Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba, (kulia) akizungumza na waandishi wa habari juu ya mgogoro uliokikumba Chama hicho Dar es Salaam jana (kushoto) ni Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho bara,Magdalena Sakaya Akitoka kuzungumza na wanahabari

TIGO FIESTA KILIMANAJARO LILIVYOFANA

Image
Wasanii Barnaba na Nandy wakitoa burudani pamoja kwenye tamasha la Tigo Fiesta kwenye uwanja wa Majengo,Moshi mkoani Kilimanjaro usiku wa kuamkia jana, n kupelekea miji huo kuzizima kwa shangwe kutokana na kazi nzito iliyokuwa ikifanywa na wasanii mbalimbali waliokuwa wakipanda jukwaani. Christian Bella1  Ney wa Mitego  Sholo Mwamba1 Umati wa mashabiki wakipagawa

ZITTO KABWE AZINDUA MAADHIMISHO YA WIKI YA KIMATRAIFA YA VIZIWI

Image
Mbunge wa Kigoma Mjini Zitto Kabwe akiangalia SIAGI YA KARANGA NA  waine  chini inayotengenezwa na wajasiliamaria   viziwi   wa umoja wa Fuwavita wa jijini Dar es Salaam,   mbunge huyo alikuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya wiki ya viziwi Kimataifa inayoadhimishwa katika viwanja vya Biafra Kinondoni Dar es Salaam    Mbunge wa Kigoma Mjini Zitto Kabwe akiangalia shati lililotengenezwa na   mjasiliamari ambaye ni kiziwi Clement Deogratias    Akiangalia ufagio wa chuma uliotengenezwa na Happya Kiswaga Washiriki wakimsikiliza mgeni rasmi Wanahabari wakiwajibika

TIGO FIESTA ILIVYOWAPAGAWISHA WAKAZI WA TANGA

Image
 Mwanamuziki Barnaba Elias akiwapungia mkno mashabiki waliofika katika Tamasha la Tigo Fiesta lililofanyika uwa nja wa Mkwakwani Tanga.  Dogo Janja (1)  Makomando.JPG  Mashabiki wakiangali kwa makini Maua sama Mnenguaji wa snura  Navy Kenzo  Ney wa Mitego1  Ney wa Mitego  Roma (1)  Roma mkatoliki akiwapagawisha mashabiki  Shetah Weusi