DK. MENGI AZINDUA MWANAHALISI ONLINE


 Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP, Dk. Regnald Mengi akizungumza na Saed Kubenea (kulia) na baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya Hali Halisi baada ya kuwasili kwa ajili yan kuzindua gazeti mtandao la Mwanahalisi Online.


Wakizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya New Habaei (206) Limited, Hussein Bashe




 Akisalimiana na Mhariri Mtendaji wa Magazeti ya Kampuni hiyo Absalom Kibanda

 Wakibadilishana mawazo kabla ya uzinduzi

MAKAMU WA RAIS DK, BILAL AZINDUA MAJENGO YA  TAASISI YA MAFUNZO YA UANASHERIA KWA VITENDO JIJINI DAR

 Akipewa zawadi ya majengo ya taasisi hiyo
 Akikata utepe kuashiria uzinduzi huo rasmi


 Akifunua kitambaa


 Picha ya pamoja na watendaji na maofisa wa ngazi za juu wa taasisi hiyo waliohudhulia ufunguzi huo
 Kundi la Burudani la Mpoto, likitoa burudani katika uzinduzi huo
 Picha ya pamoja na wafanyakazi wa Taasisi hiyo



Comments

Popular posts from this blog

AJIRA MPYA 41,500 SERIKALINI ZATANGAZWA KATIBU MKUU UTUMISHI JUMA MKOMI

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

WALIOPITA KURA ZA MAONI CCM HAWA HAPA