KAWAMBWA ATUNUKU MAHAFARI YA YA SABA IMTU
Waziri wa Elimu na mafunzo ya Ufundi Dk. Shuku Kawambwa, akisalimiana na Mkuu wa Chuo hicho Shri Katuni Subba Rao kutoka India.
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya ufundi Dk. Shukuru Kawambwa, akisalimiana na Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo Kikuu cha IMTU, Balozi Martine Lumbanga baada ya kuwasili katika ofisi za chuo hicho kwa ajili ya mahafali ya 7 ya chuo hicho Kulia ni Mkuu wa chuo hicho Shri Katuni Subba Rao kutoka India
Wakibadilishana mawazo
Wahitimu wa fani ya Nursing wakila kiapo
Wahitimu fani ya famasia wakila kiapo
Mkuu wa chuo hicho wakiwatunuku shahada zao
Comments
Post a Comment