RAIS PROFESA KIKWETE AMFUKUZA KAZI PROFESA ANNA TIBAIJUKA
Baadhi ya wazee na wananchi wakimsikiliza kwa makini Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete wakati alipokuwa akilihutubia taifa kupitia wazee wa Dar es Salaam katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam leo
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na mbunge wa Kionondoni Iddi Azzan muda mfupi baadaya baada ya kulihutubia taifa kwa kupitia wazee wa Dar es Salaam leo katika ukumbi wa Diamond jijini Dar es Salaam
Mwanasiasa Mkongwe Kingunge Ngombale Mwiru akimpongeza Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete muda mfupi baada ya kulihutubia taifa kwa kupitia wazee wa Dar es Salaam leo katika ukumbi wa Diamond jijini Dar es Salaam
Waziri wa Ardhi na makazi, Profesa Anna Tibaijuka, akizungumza na waandishi wa habari kutoa ufafanuzi mwishoni mwa wiki na kudai yeye hatajiuzuru kitu ambacho hakijachukua hata wiki amefutwa kazi na aliyemteua sasa anabaki na ubunge wa jimbo lake.
Comments
Post a Comment