Posts

WAZIRI KIJAJI AWASILISHA HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YAKE BUNGENI

Image
Waziri wa Uwekezaji, ViwaKinda na Biashara , Dkt. AshatuKijaji,akisoma hotuba ya bajeti ya wizara yake bungeni xii.Kufanya intelijensia ya masoko ya bidhaa na huduma zinazozalishwa nchini kwenye masoko ya kimkakati; xiii.Kuingiza orodha ya bidhaa mpya kwenye mfumo na kutanua mfumo ulioboreshwa kwenye maeneo ya mifugo, uvuvi, madini yasiyo vito na bidhaa za mbogamboga; xiv.Kukamilisha Mfumo wa Taarifa za Viwanda (National Industrial Information Management System – NIIMS) na tathmini ya viwanda na kuainisha fursa za uwekezaji (Industrial Mapping) katika kanda ya Ziwa; xv.Kuimarisha usimamizi wa ubora na usalama wa bidhaa nchini zikiwemo bidhaa za chakula na vipodozi; xvi.Kukamilisha uandaaji wa kuzalisha Kinasaba cha Mafuta (Fuel Marker) nchini; na xvii.Kuimarisha uwajibikaji wa Wasimamizi wa Ghala kwa kushirikiana na kampuni za uhakiki wa bidhaa katika ghala. 6. MAOMBI YA FEDHA KWA MWAKA 2024/2025 184. Mheshimiwa Spika; Katika mwaka 2024/2025, Wizara ya Viwanda na Biashara inaomba Bung...

WABUNGE WAMIMINIKA KATIKA BANDA LA BRELA KUPATA ELIMU YA USAJILI MAKAMPUNI

Image
Afisa Habari wa Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni - BRELA, Thereza Chilambo, akizungumza na waandishi wahabari kuhusu wakala hao kuwepo katika viwanja vya Bunge jijini Dodom katika viki ya maonyesho ya biashara Mbunge wa Geita CCM, Costantine Kanyasu, akisikiliza maelezo toka kwa Chilambo Afisa Kumbukumbu wa Brela Farid Hoza, akizungumza na wanahabari waliotembelea banda la wakala kupata elimu ya usajili wa kampuni Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar , Shaban Omary na Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Exaud Kigahe, wakisikiliza Maofisa wa Brela walipokuwa wakiwapatia maelezo baada ya kutembelea banda lao. Chilambo, akiwapatia zawadi Chilambo, akimpatia zawadi mbunge Mariam kisanji baada ya kutembelea banda lake  

WIZARA YA VIWANDA YAWAPIGA MSASA WABUNGE KATIKA SEMINA

Image
Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt. Ashatu Kijaji akizungumza wakati wa semina kwa wabunge kuhusu utendaji wa Shirika la Viwango Tganzania (TBS) na Wakala wa Biashara na Leseni (BRELA) iliyofunguliwa na Naibu Spika  Mussa Azan Zungu (katikati) kwenye Ukumbi wa Msekwa bungeni Dodoma Mei 20, 2024. Naibu Spika wa Bunge, Mussa Azan Zungu akifungua semina hiyo. Mbunge wa Mchinga, Mama Salma Kikwete akiwa na Mbunge wa Musoma Vijijini, Prof. Sospeter Muhongo. Mbunge wa Nyang'hwale, akiwaeleza jambo wabunge wenzake Mkurugenzi wa TBS Dkt. Athuman  Yusuph na Mkurugenzi wa Viwango wa Shirika hilo Lazaro Musasalaga, wakiwa katika semina hyo Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Dkt  Athuman Yusuph akielezea kuhusu utendaji wa shirika hilo. Wabunge wakiwa katika semina hiyo Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Biashara na Leseni, Godfrey Nyaisa akitelezea mbele ya wabunge kuhusu utendaji wa wakala hiyo .  Naibu Spika Mussa Zungu, akizungumza na Mkurugezi wa TBS Dkt.At...

MBUNGE NUSRAT HANJE AWAITA VIJANA KWENYE KONGAMANO JIJINI DODOMA

Image
Mbunge  wa Viti Maalum Vijana Nusrat Hanje akizungumza na wanahabari kuhusu  mdahalo wa Kitaifa wa Vijana kuhusu miaka mitatu ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, alibainisha kuwa utafanyika Jumamosi hii ya tarehe 25, Mei 2024, katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Center Jijini Dodoma, kuanzia saa 3 Asubuhi. Amewaomba vijana wengi wajitokeze kwenda kuzunumza mabo yanayowahusu, wajiepushe na kulalamika kwamba wamachwa nyuma wakati ni wao wanatakiwa kuungana na waliowatangulia ili wawe na uzoefu   kisha kulithi madaraka , baadhi ya vijana wanadaiwa kuwa chawa wa viongozi sasa mdahalo huo ni kwenda kuwadhihilishia kwamba vijana wapo na ni vijana wa leo n sio wa kesho , Kwa mara ya kwanza kuwakutanisha vijana nchi nzima tena wa vyama vyote haijalisha ni wa upande gani njoni tuzungumze changamoto zetu, aidha kutakuwepo na Taasisi zote za dini zinazojishugulishana Vijana hivyo hivyo kwa  watalamu wa serikali  wanaohusiana na vijana Tanzania Bara na Visiwani wa...