WABUNGE WAMIMINIKA KATIKA BANDA LA BRELA KUPATA ELIMU YA USAJILI MAKAMPUNI

Afisa Habari wa Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni - BRELA, Thereza Chilambo, akizungumza na waandishi wahabari kuhusu wakala hao kuwepo katika viwanja vya Bunge jijini Dodom katika viki ya maonyesho ya biashara


Mbunge wa Geita CCM, Costantine Kanyasu, akisikiliza maelezo toka kwa Chilambo


Afisa Kumbukumbu wa Brela Farid Hoza, akizungumza na wanahabari waliotembelea banda la wakala kupata elimu ya usajili wa kampuni
Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar, Shaban Omary na Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Exaud Kigahe, wakisikiliza Maofisa wa Brela walipokuwa wakiwapatia maelezo baada ya kutembelea banda lao.
Chilambo, akiwapatia zawadi


Chilambo, akimpatia zawadi mbunge Mariam kisanji baada ya kutembelea banda lake
 

Comments

Popular posts from this blog

AJIRA MPYA 41,500 SERIKALINI ZATANGAZWA KATIBU MKUU UTUMISHI JUMA MKOMI

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

WALIOPITA KURA ZA MAONI CCM HAWA HAPA