WIZARA YA VIWANDA YAWAPIGA MSASA WABUNGE KATIKA SEMINA
Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt. Ashatu Kijaji akizungumza wakati wa semina kwa wabunge kuhusu utendaji wa Shirika la Viwango Tganzania (TBS) na Wakala wa Biashara na Leseni (BRELA) iliyofunguliwa na Naibu Spika Mussa Azan Zungu (katikati) kwenye Ukumbi wa Msekwa bungeni Dodoma Mei 20, 2024.
Naibu Spika wa Bunge, Mussa Azan Zungu akifungua semina hiyo.
Mbunge wa Mchinga, Mama Salma Kikwete akiwa na Mbunge wa Musoma Vijijini, Prof. Sospeter Muhongo.
Mbunge wa Nyang'hwale, akiwaeleza jambo wabunge wenzake
Mkurugenzi wa TBS Dkt. Athuman Yusuph na Mkurugenzi wa Viwango wa Shirika hilo Lazaro Musasalaga, wakiwa katika semina hyo
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Dkt Athuman Yusuph akielezea kuhusu utendaji wa shirika hilo.Wabunge wakiwa katika semina hiyo
Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Biashara na Leseni, Godfrey Nyaisa akitelezea mbele ya wabunge kuhusu utendaji wa wakala hiyo. Naibu Spika Mussa Zungu, akizungumza na Mkurugezi wa TBS Dkt.Athuma Yusuph na Lazaro Musasalaga baada ya kumalizika semina hiyo

Comments
Post a Comment