MBUNGE NUSRAT HANJE AWAITA VIJANA KWENYE KONGAMANO JIJINI DODOMA

Mbunge  wa Viti Maalum Vijana Nusrat Hanje akizungumza na wanahabari kuhusu  mdahalo wa Kitaifa wa Vijana kuhusu miaka mitatu ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, alibainisha kuwa utafanyika Jumamosi hii ya tarehe 25, Mei 2024, katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Center Jijini Dodoma, kuanzia saa 3 Asubuhi. Amewaomba vijana wengi wajitokeze kwenda kuzunumza mabo yanayowahusu, wajiepushe na kulalamika kwamba wamachwa nyuma wakati ni wao wanatakiwa kuungana na waliowatangulia ili wawe na uzoefu   kisha kulithi madaraka , baadhi ya vijana wanadaiwa kuwa chawa wa viongozi sasa mdahalo huo ni kwenda kuwadhihilishia kwamba vijana wapo na ni vijana wa leo n sio wa kesho , Kwa mara ya kwanza kuwakutanisha vijana nchi nzima tena wa vyama vyote haijalisha ni wa upande gani njoni tuzungumze changamoto zetu, aidha kutakuwepo na Taasisi zote za dini zinazojishugulishana Vijana hivyo hivyo kwa  watalamu wa serikali  wanaohusiana na vijana Tanzania Bara na Visiwani watakuwepo kutoa elimu .

Vijana watazungumza  nini kifanyike zaidi ya asilimi 60 ni vijana, wanatakiwa wawe na sauti moja ya kuileza Serikali kwa hoja, Rais Samia Suluhu Hassan kwa utawala wake kuna mengi yamefanyika vijana inapaswa tumpe maua yake.

















 

Comments

Popular posts from this blog

AJIRA MPYA 41,500 SERIKALINI ZATANGAZWA KATIBU MKUU UTUMISHI JUMA MKOMI

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

WALIOPITA KURA ZA MAONI CCM HAWA HAPA