Posts

RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK.HUSSEIN MWINYI AZUNGUMZA NA RAIS WA SHIRIKISHO LA JAMHURI YA SOMALIA IKULU NDOGO MIGOMBANI LEO.28-4-2024

Image
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Rais wa Shirikisho la Jamhuri ya Somalia Mhe.Dkt.Hassan Sheikh Mohamud, na kutowa mkono wa pole kufuatiya kifo cha Baba yake Mzazi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Mstaafu Hayati Alhajj Hassan Ali Mwinyi, mazungumzo hayo yaliyofanyika  katika ukumbi wa Ikulu Ndogo Migombani Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 28-4-2024.(Picha na Ikulu) RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na mgeni wake Rais wa Shirikisho la Jamhuri ya Somalia Mhe.Dkt. Hassan Sheikh Mohamud, baada ya kumaliza mazungumzo yao na kutoewa mkono wa pole kufuatia kifo cha Baba yake mzazi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Mstaafu Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Ndogo Migombani Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 28-4-2024.(Picha na Ikulu)  

TUSIWATENGE, KUWABAGUWA WALA KUWANYANYAPAA WATOTO WENYE USONJI – WAZIRI MKUU MAJALIWA.

Image
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akishiriki  mbio fupi za hisani za Run 4 Autism Tanzania ,  zilizofanyika katika viwanja vya The Green Oysterbay, zenye lengo la kuchangisha fedha kwa ajili ya Watoto wenye tatizo la Usonji,  Aprili  28 , 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akifanya mazoezi ya viungo baada ya  kushiriki  mbio fupi za hisani za Run 4 Autism Tanzania ,  zilizofanyika katika viwanja vya The Green Oysterbay, zenye lengo la kuchangisha fedha kwa ajili ya Watoto wenye tatizo la Usonji,  Aprili  28 , 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akiwapa zawadi watoto  wenye tatizo la usonji waliyoshiriki mbio fupi za hisani za Run 4 Autism Tanzania ,  zilizofanyika katika viwanja vya The Green Oysterbay,  Aprili  28 , 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akipokea tuzo ya ushiriki  wa mb...

ASKARI WA TANZANIA KUPATA MAFUNZO NCHINI URUS

Image
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akipokea zawadi kutoka kwa Katibu wa Baraza la Usalama la Shirikisho la Urusi, Nikolai Patrushev (kulia) baada ya kumaliza mazungumzo yaliyohusu ushirikiano kati ya nchi ya Tanzania na Urusi katika kubadilishana uzoefu unaohusu masuala ya Ulinzi na Usalama walipokutana kando ya Mkutano wa Kimataifa wa Maafisa wa Daraja la Juu kutoka Serikalini wanaohusika na Mambo ya Usalama ambapo mkutano huo unafanyika  katika Jiji la St. Petersburg, ambapo takribani nchi 20 zimehudhuria mkutano huo. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Mhandisi Hamad Masauni akizungumza na Mkuu wa Usalama wa Taifa wa Serikali ya Urusi,Sergey Beseda(wapili kulia) yaliyohusu ushirikiano kati ya nchi ya Tanzania na Urusi katika kubadilishana uzoefu unaohusu masuala ya Ulinzi na Usalama walipokutana kando ya Mkutano wa Kimataifa wa Maafisa wa Daraja la Juu kutoka Serikalini wanaohusika na Mambo ya Usalama ambapo mkutano huo u...

Rais Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Viongozi wateule wafuatao Ikulu

Image
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Ndugu Alice Edward Mtulo kuwa Naibu Wakili Mkuu wa Serikali katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 28 Aprili, 2024. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Ndugu Winfrida Beatrice Korosso kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 28 Aprili, 2024. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Ndugu Bibiana Joseph Kileo kuwa Naibu Mkurugenzi wa Mashtaka katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 28 Aprili, 2024. Ndugu Bibiana Joseph Kileo Naibu Mkurugenzi wa Mashtaka, Ndugu Alice Edward Mtulo Naibu Wakili Mkuu wa Serikali na Ndugu Winfrida Beatrice Korosso Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania wakiapa Kiapo cha Maadili ya Viongozi katika hafla fupi iliyofanyika I...

BAJETI YA WIZARA YA NISHATI YAPITA BILA KUKAMATWA SHILINGI .

Image
Waziri wa Nishati ambaye pia ni Naibu Waziri Mkuu Doto Biteko (kushoto), akiagana na  maofisa wa wizara yake na Taasisi zake baada ya kupiga nao picha ya pamoja  baada ya kupitishwa bajerti ya wizara hiyo na wabunge. Waziri Biteko tangu akiwasilisha bajeti ya wizara yake aliwakosha wabunge  vipaumbele vyake kwa ajili ya huduma za majimbo yao, hata wakati wa kuijadili wabunge wengi walikuwa wamepata ufafanuzi wa shida za umeme majimboni kwao kutoka kwa wafanyakazi wa Wizara hiyo waliokuwa katika maonyesho ya wiki ya Nishati walioweka kambi kwa muda wa wiki nzima bungeni hapo. Ni waziri pekee hadi sasa aliyeweza kupitishiwa bajeri yake na wabunge bila misuguano ya hapa na pale na kutishia kuondoka na shilingi. Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji ( EWURA ), Dkt. James Andilile, wakijadiliana jambo na  Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi EWURA, Prof. Mark Mwandosya baada ya kupitishwa bajeti ya Nishati Mbunge Msukuma Kasheku, akiisifia ba...

SHIRIKA la SwissAid Tanzania lawakutanisha wadau wa kilimo hai nchini

Image
Mkurugenzi Mkuu wa SwissAid Tanzania, Betty Malaki, akizungumza na wanahabari katika shamba la mfano linalozalisha mazao kwa njia ya kilimo hai, lililopo katika Kituo cha Kilimo cha Bihawana mkoani Dodoma. Ofisa Program wa SwissAid anayesimamia Utafiti na Utetezi wa Kilimo Hai, Gladness Martin amesema shamba la mfano lililopo Bihawana limeonesha matokeo chanya hali ambayo imetoa msukumo kwao kupigania kilimo hicho.  Mkurugenzi Mkuu wa SwissAid Tanzania, Betty Malaki, akizungumza katika mkutano huo Gladness Martin, aktoa maelezo kwa wadau waliotembelea shamba  lake   Gladness Martin, akiwaonyesha  zao ambalo linalejesha uhai wa ardhi kama imepoteza ubora Mwenyekiti wa Mwavuli wa Asasi za Kuendeleza Kilimo Hai Tanzania (TOAM),, Dk Mwatima Juma amesema ili kilimo hai kiweze kupiga hatua ni lazima kuwepo utashi wa kisiasa jambo ambalo kwa sasa halipo.  @@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@  Na Mwandishi Wetu SHIRIKA la SwissAid Tanzania limesema ili nchi k...