RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK.HUSSEIN MWINYI AZUNGUMZA NA RAIS WA SHIRIKISHO LA JAMHURI YA SOMALIA IKULU NDOGO MIGOMBANI LEO.28-4-2024

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Rais wa Shirikisho la Jamhuri ya Somalia Mhe.Dkt.Hassan Sheikh Mohamud, na kutowa mkono wa pole kufuatiya kifo cha Baba yake Mzazi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Mstaafu Hayati Alhajj Hassan Ali Mwinyi, mazungumzo hayo yaliyofanyika  katika ukumbi wa Ikulu Ndogo Migombani Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 28-4-2024.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na mgeni wake Rais wa Shirikisho la Jamhuri ya Somalia Mhe.Dkt. Hassan Sheikh Mohamud, baada ya kumaliza mazungumzo yao na kutoewa mkono wa pole kufuatia kifo cha Baba yake mzazi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Mstaafu Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Ndogo Migombani Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 28-4-2024.(Picha na Ikulu)

 

Comments

Popular posts from this blog

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.

KADA MGEJA AHUDHURIA MAZIKO YA MAMA MZAZI WA MWANDISHI MWANDAMIZI WA HABARI KAHAMA