ASKOFU GAD AOMBEA MVUA INYESHE NCHINI BRASIL
Askofu wa Kanisa la Habari Njema kwa Wote la Jijijni Dar es Salaa, Charles Gadi na msaidizi wa John Kalonga, akiwa katika maombi ya kuombea mvua baada ya nchi ya Brasili iliyokumbwa na ukame hapa wapo katika ofisi za Wizara ya Majai na Nishati ya nchi hiyo mjini humo Wakiwa na Maofisa wa Wizara hiyo katika makao makuu ya Wizara hiyo baada ya kumaliza maombi ya kuombea mvua inyeshe katika nchi hiyo iliyokunbwa na ukame wa muda mrefu.