TWAWEZA NA UTAFITI WAKE
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Zitto Kabwe, akizungumza wakati wa uzinduzi wa taarifa ya utafiti kuhusu matumizi ya fedha za wananchi iliyoandaliwa na Taasisi isiyo ya kiserikali ya TWAWEZA, jijini Dar es Salaam jana. Kulia ni aliyekuwa Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Ludovick Utouh
Waalikwa wakisikiliza kwa makini
Utouh, akielezea ya kwake aliyokumbana nayo wakati akiongoza idara hiyo nyeti ya serikali inayovumbua madudu ya ulaji wa fedha za umma nchini
Comments
Post a Comment