TUGHE WAANZA KUCHAGUANA NGAZI YA TAIFA LEO JIJINI DODOMA

Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyakazi wa Serikali na Afya Tanzania (TUGHE) Taifa, Joel Kaminyoge, akifungua Mkutano Mkuu wa Uchaguzi wa Chama hicho ngazi ya Taifa 2026 leo jijini Dodoma. Amewaoba wajumbe hao kutoka mikoa yote nchini kuchagua viongozi ambao watakuwa watetezi,watendaji wazuri wa chama hicho.

Katibu Mkuu wa Tughe Taifa, Hery Mkunda, akizungumza katika mkutano huo


Naibu Katibu Mkuu TUCTA, Rehema Ludanga, akitoa salamu za Shirikisho hilo katika mkutano huo

Manaibu Katibu Wakuu wa Chama hicho wakibadilishana mawazo kabla ya uchaguzi kuanza (kushoto) ni Amani Msuya na Rugemalira Rutatina






















 

Comments

Popular posts from this blog

AJIRA MPYA 41,500 SERIKALINI ZATANGAZWA KATIBU MKUU UTUMISHI JUMA MKOMI

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

WALIOPITA KURA ZA MAONI CCM HAWA HAPA