MWANAHABARI MWANDAMIZI PATRICIA KIMELEMETA AKIWA NA MAPACHA WAKE BAADA YA KUHITIMU JKT MAKUTUPOLA LEO
Wahitimu wakipita mbele ya mgeni rasmi kuhitimisha mafunzo yao
Wahitimu wakishangilia baada ya mafunzo yao kufungwa
Mwakilishi wa Mkuu wa JKT, Brigedia Jenerali Shija, akitoa salam za jeshi hiloMkuu wa Wilaya ya Bahi Thobias Nyingo, akihitimisha Mafunzo hayoAkikagua Gwaride la wahitimu
Mwandishi Patricia Kimelemeta (kulia), akibadilishana mawazo na watoto wake mapacha Kulwa na Doto baada ya kuhitimu mafunzo ya awali ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) 834 Makutupola Opereshen Linda Amani kwa upande wa mujibu wa sheria na Operesheni Nishati safi kwa upande wa kujitolea.Sherehe hizo zimejumuisha maonyesho mbalimbali na uonyeshaji wa morali na uzalendo wa vijana hao waliohitimu mafunzo yao katika kikosi hicho kilichopo mkoani Dodoma.Wahitimu wakishangilia baada ya mafunzo yao kufungwa
Mwakilishi wa Mkuu wa JKT, Brigedia Jenerali Shija, akitoa salam za jeshi hiloMkuu wa Wilaya ya Bahi Thobias Nyingo, akihitimisha Mafunzo hayoAkikagua Gwaride la wahitimu
Mambo ya keki kwa wahitimu
.jpeg)

Comments
Post a Comment