WAZIRI MHAGAMA AZINDUA MIFUMO NA VIFURUSHI VYA MFUKO WA BIMA YA AFYA KWA WOTE
Waziri wa Afya Jenista Mhagama (kulia na Mkurugenzi wa Mfuko huo Dr. Irene Charles Isaka , wakifunua kitambaa kuashiria uzinduzi huo uliofanyika jijini Dodoma leo Wakiwa wameshikilia watoto baada ya kuzindua HOTUBA YA MHE. JENISTA MHAGAMA (MB), WAZIRI WA AFYA SIKU YA UZINDUZI WA MIFUMO YA NHIF YA USAJILI, UCHAKATAJI MADAI NA TOTO AFYA KADI KATIKA UKUMBI WA TAKWIMU JIJINI DODOMA TAREHE 17 DISEMBA 2024 ● Katibu Mkuu -Wizara ya Afya, Dkt. John Jingu, ● Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge Afya/Ukimwi ● Mganga Mkuu wa Serikali ● Mkurugenzi Mkuu-NHIF, Dkt. Irene Isaka, ● Viongozi kutoka Wizara ya Afya na Taasisi mbalimbali zilizoalikwa, ● Wadau wa Maendeleo(GIZ, KFW, KoICA,TCDC pamoja na NHIS Korea ● Menejimenti na Watumishi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya, ● Ndugu Waandishi wa Habari, ● Wageni Waalikwa ● Mabibi na Mabwana. Nawasalimia kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania......... Awali ya yote nianze kwa kumshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa kutuwezesha kukutana hapa tu...