JAMII FORUMS ULM YAWAPIGA MSASA WABUNGE VIJANA, HATA WAZEE WALIALIKWA
Mkurugenzi Mtendaji wa mtandao wa Jamii Forums Maxence Melo Mubyazi, akitoa mada yake kwa wabunge vijana wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambapo aliwataka kukazania kulekebisha sheria za mtandao zinazoingilia falagaha za wananchi Mwenyekiti wa Chama hicho J. Kapinga, akitoa salam kabla ya kumkalisha spika katika mkutano huo Mwenyekiti wa umoja huo Salome Makamba, akizungumza na Melldy Spika akiwasili katika mkutano ili kuufungua JKatibu wa Chama hicho, akimkalisha Spika kuzungumza nao Waalikwa ambao umri wao umme, wakiaamsikiliza ...