WABUNGE WANAWAKE WAMPONGEZA RAIS SAMIA; WANAMUME NAO WAMO PICHA KIBAO
Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Dodoma ,ambaye pia ni msanii wa kizazi kipya Keisha, akiimba wimbo maalum wa kumpongeza rais Samia Suluhu Hassan, kwa uongozi wake wa mwaka mmoja tyu mambo aliyoyafanya yanamweka katika marais 100 bora Dunia. Hafla hii imefanyika jijini Dodoma chini ya uandalizi wa Chama cha Wabunge wanawake na kusindikizwa na wabunge wanaume pa viongozi wa ngazi za juu wa CCm nao walihudhulia hafla hiyo ya kukata na shoka
Spika Dkt. Tulia Ackson Mwansasu, akijumuika na wabunge wake kuselebuka
Katibu wa Bunge nae hakuwa nyuma
Mghanaji wa Shairi, akitunzwa na Naibu Waziri wa Maji Maryprisca Mahundi
Katibu wa chama hicho Mbunbe Agnes Hokororo akilonga
Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho, Sophia Mwakagenda, akizungumza katika hafla hiyo
Mbunge kijana viti Maalum kutoka mkoa wa Ruvuma, Ngonyani akielezea mambo aliyoyafanya kwa muda mfupi Rais Samia
Hebu Tuselebuke na matamu ya Rais Samia
Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Mndeme, akitoa salamu zake kutoka kwa Katibu Mkuu Chongolo
Tuzoya Rais ikitolewa na kupokelewa kwa niaba yake Spika Dkt. Tulia Ackson Mwansasu
Spika akihutubia

Comments
Post a Comment