VIONGOZI KASHUWASA WAWEKWA KITI MOTO NA KAMATI YA KUDUMUYA BUNGE PAC.

 Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Devota Minja (kulia), akiwa na kamati yake wakimsikiliza  Mkurugenzi wa Mamlaka ya Kuuza Maji kwa Jumla (Kashuwasa), Mhandisi, Justine Rujomba, alipokuwa akifafanua hoja za kamati yake katika kikao kilichofanyika leo jijini Dodoma. Kashuwasa ni Mamlaka inayosimamia Mamlaka za Maji za mikoa ya Shinyanga, Mwanza, Simiyu, Mara, Geita, Singida na Tabora 
















 

Comments

Popular posts from this blog

AJIRA MPYA 41,500 SERIKALINI ZATANGAZWA KATIBU MKUU UTUMISHI JUMA MKOMI

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

WALIOPITA KURA ZA MAONI CCM HAWA HAPA