MATUKIO YA PICHA ZA BUNGENI LEO JIJIJINI DODOMA
Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson Mwansansu, akiongozwa na askari aliyechukua siwa tayari kuanza kipindi cha bunge leo asubuhiSpika Dkt. Tulia, akimkalisha chini mbunge wa Arusha Mrisho Gambo baada ya swala lake kupelekwa katika Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge
Mbunge Mrisho Gambo, akitaka kutoa ufafanuzi kabla hajakalishwa chini na Spika
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene, akiwasilisha bajeti ya wizara yake leo
Dkt. Tea Ntara, akiuliza swali bungeni leo
WAZIRI wa Viwanda na Biashara,Dkt .Seleman Jafo (kushoto), akiwakalibisha bungeni wageni wake kutoka jimboni kwake Kisarawe walipofika bungeni leoWaziri Jafo akipiga picha na wageni wake
Mbunge wa Viti Maalum Reginal Qwarai, akiwasili BungeniMbunge Mpembenwa, akiondoka bungeni katika kipindi cha mchanaMbunge Salma Kikwete, akipiga picha na wageni wakeSpika aakiwa ameshikilia zawadi yake ya picha baada ya kupewa na wageni wake

Comments
Post a Comment