CCM MKOA WA DODOMA WAMPOKEA WASIRA SHUHUDIA PICHA ZA MATUKIO

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Tanzania Bara, Stephine Masatu Wasira, akipokelewa na Naibu katibu Mkuu wa Chama hicho tanzania bara John Mongera baada ya kuwasili makao makuu ya chama hicho jijini Dodoma leo, hafla ya mapokezi hiyo iliandaliwa na mkoa wa Dodoma. Katika mapokezi hayo Wasira aliwaambia waliofika kumpokea kwamba CCM itaendelea kutawala na wapinzani wataendelea kuchezea ndevu na kuota kwenda Ikulu.
Gari la Waziri likiingia Makao Makuu
Msafara wa mapikipiki kwenda Makao Makuu




Akivalishwa skafu na Chipukizi wa Chama



Akisalimiana na Dennis Joe Msacky amabaye ni  Msaidizi wa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Emmanuel John Nchimbi
Makamu Wasiri akisalimiana na Aboubakary Liongo ambayue ni  Mkuu wa Mawasiliano katika Idara ya Uenezi, Itikadi na Mafunzo ya CCM.






Wanaccm katika mapokezi hayo





 

Comments

Popular posts from this blog

AJIRA MPYA 41,500 SERIKALINI ZATANGAZWA KATIBU MKUU UTUMISHI JUMA MKOMI

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

WALIOPITA KURA ZA MAONI CCM HAWA HAPA