WAZIRI DKT. PINDI CHANA MBELE YA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA MZAVA

Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Pindi Chana, akisoma maelezo yake mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii waliyokutana nayo leo jijini Dodoma , pamoja na  Taasisi za Wizara hiyo kuwasilisha baadhi ya utedaji kazi wake uliotukuka wa  kuwatumikia wananchi. Kulia ni Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Dkt.Hassan Abbas


Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi Maliasili na Utalii , Timotheo Mnzava (kushoto) akiteta jambo  na maofisa wa kamati yake kabla kuanza kikao na wizara hiyo.





Wakurugenzi wa Taasisi za wizara hiyo

 Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Utalii Tanzania, Ephraim Balozi Mafuru, akinena jambo mbele ya kamati hiyo
























Msimamizi wa mradi wa “Tourism Destination Portal”  Rossan Mduma akitoa maelezo kuhusu utangazaji wa utalii Duniani kwa njia ya Tehama

 

Comments

Popular posts from this blog

AJIRA MPYA 41,500 SERIKALINI ZATANGAZWA KATIBU MKUU UTUMISHI JUMA MKOMI

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

WALIOPITA KURA ZA MAONI CCM HAWA HAPA