WAZIRI SLAA ALIOMBA BUNGE KUIDHINISHA BAJETI YA WIZARA YAKE TSH. BILIONI 171

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makaazi ,Jerry Slaa, akiwasili bungeni na familia yake kwa ajili ya kusoma hotuba ya bajeti ya wizara yake kwa mwaka 2024 na 2025



Akiomba kuidhinishiwa bajerti yake


Mkurugenzi Mkuu  wa Shirika la Nyumba  (NHC) Hamad Abdallah, akitambulishwa bungeni
Waziri Slaa, akizungumza na wageni wake ambao ni viongozi wa CCM kutoka mkoa wa Dar es salaam baada ya kupiga nao picha

 Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Tauhida Cassian-Gallos Nyimbo, akichangia bajeti ya wizara hiyo

Comments

Popular posts from this blog

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

KADA MGEJA AHUDHURIA MAZIKO YA MAMA MZAZI WA MWANDISHI MWANDAMIZI WA HABARI KAHAMA