WABUNGE WAMIMINIKA KUJIONEA MAONYESHO YA WIZARA YA UJENZI

Naibu Waziri wa Ujenzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya (kushoto), akitembelea maonyesho ya wizara yake yaliyopo katika viwanja vya bunge,  Wizara hiyo imeandaa maonyesho hayo kuwaonyesha wabunge jinsi ilivyoweza kulejesha usafiri kwa Watanzania baada ya mvua kusomba madaraja na barabara nyingi kuhalibiwa. Hivi sasa zinapitika baada ya watendaji  wa wizara hiyo kukesha saiti


Meneja wa Wakara wa barabara nchini (TANROADS) mkoa wa Simiyu Boniface Mkumgo(wapili kushoto), akiwaeleza wabunge wa mkoa huo jinsi barabara zinavyopitika kwa sasa baada ya kufanyika matengenezo  makubwa , mvua ilihalibu barabara  nyingi katika mkoa huo. Wa kwanza kushoto ni  Meneja TANROADS mkoa wa Mwanza Ambrosee Pascal






 

Comments

Popular posts from this blog

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

KADA MGEJA AHUDHURIA MAZIKO YA MAMA MZAZI WA MWANDISHI MWANDAMIZI WA HABARI KAHAMA