TUJIKUMBUSHE SAFARI YA MATUMAINI ILIPOANZIA JIJINI DODOMA MAY 25. 2015.
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), na Mhariri Mtendaji wa Magazeti ya Kampuni ya New Habari (206) Limited, Abslom Kibanda, akimtambulisha Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa, kwa wahariri kutoka vyombo mbalimbali vya habari nchini waliofika nyumbani kwake mjini Dodoma jana kufanya mazungumzo naye kuhusu mambo mbalimbali pamoja na safari yake ya matumaini
Waahariri wakisikiliza kwa makini
Wahariri na wageni waalikwa wakimsikiliza Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa, alipokuwa akizungumza
Kibanda na Msoky, wakibadilishana mawazo
Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa, akizungumza na wahariri, waliofika nyumbani kwake kufanya mazungumzo nae
Gerad Hando na Msoky, wakizungumza
Wakisikiliza kwa makini majibu ya maswali aliyoulizwa
Akisikiliza kwa umakini mkubwa maswali
Akivaa mawani ili aweze kuandika baadhi ya maswali aliyokuwa akiulizwa
Akiandika maswali yaliyokuwa yakiulizwa
kisikiliza kwa umakini
Akijibu maswali yao kwa kutumia mikono yote miwili ya kushoto na kulia hku akisema afya ni njema na wagombea wote angependa wakapimwe afya zao
Mhariri wa gazeti la Jumatano la Mtanzania Charles Mlinda, akimuuliza swali
Mhariri Mtendaji wa gazeti la Jamhuri, Manyerere Jactony akimuuliza swali
Akijibu maswali yao
Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa, akimsikiliza kwa makini Mhariri wa Michezo wa Gazeti la Mtanzania, Mwani Nyangasa, alipokuwa akimuuliza swali kuhusu michezo, kama atafanikiwa kuwa Rais wa nchi hii
Anajibu kwa ufasaha nadhani ndivyo wanavyowaza wananchi hawa.
Wahariri wa kampni ya Mwananchi Commnications, wakijadiliana jambo
Mhariri wa Gazeti la Mtanzania, Denisy Msaki, akizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu baada ya kumalizika mazungumzo na wa hariri katika mazungumzo yaliyofanyikia nyumbani kwake mjini Dodoma
Akizungumza na mwani na Msokyi
Akizungumza na Rahel Chizoza, mmoja wa wahariri wa Kampuni ya Claud"s radio na TV
Msanifu kurasa wa Magazeti ya Kampuni ya New Habari (206) limited Hamsi Mkotya, akizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa, baada ya kumalizika mkutano na waanidishi wa habari nyumbani kwake mjini Dodoma
Akizungumza na wahariri baada ya kumalizika mkutano
Wahariri wa Mmwananchi Commnications, wakijadiliana jambo baada ya mkutano
Akizungumza na Manyerere na Kalamagi
Akizungumza na Mwakalebela
Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa. Akizungumza na baadhi ya wanafunzi wa vyuo vikuu walaiofika kwake jana kusikiliza mazungumzo na Wahariri
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya New Habari (206)Limited, Hussein Bashe (kushoto), akiwa katika mazungumzo na wageni waalikwa baada ya kumalizika mkutano wa wahariri.
Hamis Mkotya, anayegombea ubunge jimbo la Chemba, akizungumza na Beno Malisa baada ya mkutano huo
Comments
Post a Comment