WABUNGE WA YANGA WAENDELEA KUWANYANYASA SIMBA WA BUNGENI
Timu za watani wabunge wa Yanga na Simba zikiingia uwanjani kwa ajili ya mpombano wa Azania Bunge Bonanza uliofanyika leo katika uwanja wa CCM Jamhuri jijini Dodoma ambapo Timu ya wabunge wa wapenzi na wanachama wa yanga waliendeleza kuwakung'uta watani zao simba bao 5-4 hivyo hivyo katika mchezo wa kuvuta kamba waliwaburuta mara mbili na kujinyakulia ushindi.
Wabunge wa Yanga na baadhi ya wafanyakazi wa bunge wakitoa salamu ya Taifa ya 5G wakiongozwa na Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba wasita toka kulia waliosimama.
Wabunge wa Simba na Wafanyakazi wa Bunge wakiwa katika picha ya pamoja kbla ya kuanza mpambano huo
Timu zote zikipiga picha ya pamoja ya ukumbusho
Timu ya yanga walioanza mpambano
Viongozi wa Yanga Rais na Makamu wake walitoka Dar kwa ajili ya Bonanza hilo
Mchezaji wa Yanga Dkt. Mwigulu Nchemba, akionyesha kwamba na leo ni 5G kabla ya kuanza mpambano huo
Kipa wa simba akipisha na bao
Kipa wa Yangaa Michael Kadebe, akipangua penati na kuipa timu yake ushindi kwa mara nyingine tena
Wabunge ambao ni Wanachama wa Klabu ya simba wakiwa wamekata tamaa wakiwashuhudia wenzao wakishangilia
Shangwe na vifijo upande wa yanga
Waziri Dkt. Mwigulu akipongeza kipa ya timu yake Michael Kadebe baada ya kumalizika mpambano huo
Rais wa klabu ya Yanga Sc Eng. Hersi Said, pia alicheza na kufunga maba o mawili akizungumza na wanahabari baada nya mpambano kumalizika
Yanga uopande wa kuvuta kamba wakiwaburuta wenzao wa simba hadi kuwaangusha chini
Simba wakijitutumua
Chini chini haswaaa
Kocha wao Kizingiti haamini kama wababe wa mili hiyo wanaweza kudondoshwa chini na vimbaumbau wa yanga
Ni ushindi tuu
Wachezaji wa yanga wakikabidhiwa kombe lao na Spika Dkt. Tulia Acksom
MBunge wa Kalenga Jackson Gedion Kiswaga akishangilia na wachezaji wenzake
Nahodha wa timu ya wavuta kamba akiongoza timu yake kubeba kombe

Comments
Post a Comment