Hospitali ya Mombo na tafiti za maambukizi na Usugu wa Dawa za Antibiotic
Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga Bombo Dkt Naima Yusuf akieleza jambo wakati wa kongamano la mrejesho wa Tafiti za kukinga na kudhibiti maambukizi na Usugu wa Dawa za Antibiotic uliofanyika juzi kwenye Hospitali hiyo ambalo lilifunguliwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Dkt Seif Shekalage ,Picha na kitengo cha Habari Bombo Hospital
Katibu Mkuu wa Wizara Dkt Seif Shekalage kulia akisalimiana na Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga -Bombo Dkt Naima Yusuf mara baada ya kuwasili kwa ajili ya kufungua mkutano wa mrejesho wa Tafiti za kukinga na kudhibiti maambukizi na usugu wa dawa za Antibiotic juzi uliofanyika kwenye Hospitali hiyo kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR) Prof. Said Shehe Aboud

Comments
Post a Comment