WAZIRI MKUU AFUNGUA VITUO VYA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI JIJINI DODOMA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikata utepe wakati alipofungua Kituo cha Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Chamwino jijini Dodoma, Aprili 26, 2023. Wengine kutoka kushoto ni Naibu Waziri wa Mambo ya Nje ya Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, Balozi Mbarouk Nassoro Mborouk , Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamai Masauni, Kamishina Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, John William Masunga, Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara), Anamringi Macha na kulia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje , Ulinzi na Usalama, Vita Kawawa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akifungua Kituo cha Jeshi la Zimamoto na Uokoaji
Chamwino n jijini Dodoma, Aprili 26, 2023. Wengine kutoka kushoto ni
Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Kaspar Mmuya, mkuu wa Mkoa
a Dodoma, Rosemary Senyamule, Kamshina Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na
Uokoaji, John William Masunga na kulia ni Waziri wa mambo ya Ndani ya
Nchi, Mhandisi Hamadi Masauni.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza baada ya kufungua Vituo cha Jeshi la
Zimamoto na Uokoaji Chamwino na Nzuguni jijini Dodoma, Aprili 26, 2023.
Baadhi
ya Viongozi na waalikwa wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
wakati alipozungumza baada ya kufungua Vituo cha Jeshi la Zimamoto na
Uokoaji Chamwino na Nzuguni jijini Dodoma, Aprili 26, 2023.
Baadhi
ya Viongozi na waalikwa wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
wakati alipozungumza baada ya kufungua Vituo cha Jeshi la Zimamoto na
Uokoaji Chamwino na Nzuguni jijini Dodoma, Aprili 26, 2023.
Comments
Post a Comment