RAIS SAMIA APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO KUTOKA KWA MABALOZI WA NCHI 6, IKULU CHAMWINO MKOANI DODOMA

Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea
Hati ya utambulisho kutoka kwa Balozi wa Jamhuri ya Ukraine hapa nchini
Mhe. Andrii Pravednyk, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 28 Februari,
2023.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa
kwenye mazungumzo na Balozi wa Jamhuri ya Ukraine Mhe. Andrii Pravednyk
mara baada ya kupokea Hati yake ya Utambulisho Ikulu Chamwino Mkoani
Dodoma tarehe 28 Februari, 2023.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea
Hati ya utambulisho kutoka kwa Balozi wa Jamhuri ya Slovak hapa nchini
Mhe. Katarina Zuffa Leligdonova, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 28
Februari, 2023.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa
kwenye mazungumzo na Balozi wa Jamhuri ya Slovak mara baada ya kupokea
Hati yake ya Utambulisho Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 28
Februari, 2023.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea
Hati ya utambulisho kutoka kwa Balozi wa Hungary Mhe. Zsolt Meszaros,
Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 28 Februari, 2023.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa
kwenye mazungumzo na Balozi wa Hungary Mhe. Zsolt Meszaros mara baada ya
kupokea Hati yake ya Utambulisho, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe
28 Februari, 2023.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea
Hati ya utambulisho kutoka kwa Balozi wa Israel Michael Lotem, Ikulu
Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 28 Februari, 2023.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa
kwenye mazungumzo na Balozi wa Israel Michael Lotem, Ikulu Chamwino
Mkoani Dodoma tarehe 28 Februari, 2023
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea
Hati ya utambulisho kutoka kwa Balozi wa Ghana Damptey Bediako Asare,
Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 28 Februari, 2023.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa
kwenye mazungumzo na Balozi wa Ghana Damptey Bediako Asare, Ikulu
Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 28 Februari, 2023.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea
Hati ya utambulisho kutoka kwa Balozi wa Ureno Antonio Manuel Coelho Da
Costa Moura, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 28 Februari, 2023.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa
kwenye mazungumzo na Balozi wa Ureno Antonio Manuel Coelho Da Costa
Moura mara baada ya kupokea Hati yake ya Utambulisho Ikulu Chamwino
Mkoani Dodoma tarehe 28 Februari, 2023.
Comments
Post a Comment