WAUMINI WA DHEHEBU LA SWAMINALAYANI SANSTHA, WAKIGAWA MISAADA KUPITIA JUMUIYA YAO YA BAPS CHARITIES TANZANIA BAPS JIMBO LA MBAGALA DSM
Mbunge wa Jimnbo la Mbagala Issa Mangungu, akizungumza na baadhi ya waumini wa dhehebu la Swaminaalayani sanstha nchini ya jumuiya yao ya Baps Charities Tanzania, waliofika jimboni kwake kutoa misaada ya vyakula kwa waathilika wa mafuliko yaliyotokea hivi karibuni na kusababisha hasara kubwa kwa wananchi hao zaidi ya kaya 200 kuachwa bila makazi
Waumini hao wakipakia misaada hiyo kwenye bajaji aina ya Toyo baada ya gari lao kushoindwa kupita kutokana na ubovu wa barabara katika jimbo hilo kama inavyoonekana hapo juu. Walikutana tatizo kubwa walilonalo wananchi wamewaomba wananchi wengine wenye kuguswa wawasaidie ,isaada mbalimbali , wenye kumwabudu mwenyezi mungu na wasiomwamini. ubinadamu kwanza.
Bajaji ikitoka kwa mbwembwe na mizigo lakini bita chache ilizaman na kushindwa kuendele na safari hadi walipoikwamua
Waumini wa dhehebu la Baps Swaminarayan Santha, wakijitahidi kuikwamua bajaji aina ya TOYO iliyobeba misaada kwenda kwa wathilika wa mafuliko baada ya kukwama katika barabara ya bomba la mafuta kwenda Zambia eneo la Mabagala Kiburugwa jana, zaidi ya waahilika 100 wa eneo jhilo walipatiwa misaada ya chakula.
Mwishowe waliamua kubeba misaada hiyo ili ,kuifikishwa kwa walengwa kama inavyoonekana
Waathilika wakisubili misaada kugawiwa
Mbunge Mangungu, akibadilishana na viongozi wa msafara huo
Watoto wa familia za waathilika wakisubili misaada kwa matumaini
Mzee Mussa Omary, akipewa msaada wa vyakula na waumini wa Baps Swaminarayan Sanstha, baada ya kuathilika namafuliko katika jimbo la mbagala. Waumini hao walitoa misaada mbalimbali ya vyakula kwa waathilika zaidi ya 200.
Mzee Sudi Juma, akipewa msaada wa vyakula na waumini wa Baps
Swaminarayan Sanstha, baada ya kuathilika namafuliko katika jimbo la
mbagala. Waumini hao walitoa misaada mbalimbali ya vyakula kwa waathilika zaidi
ya 200.
Familia wakihakiki misaada waliyopatiwa
Haya siyo maandamano bali ni waumini wa Dhehebu la Baps Swaminarayan Sanstha, wakitoka
kutoa misaada kwa waathilika wa mafuliko wa Mbagala Kiburugwa jijini Dar es
Salaam jana. Zaidi ya waumini 100 wa eneo hilo walipatiwa msaada wa vyakula .
Wakazi wa Mbagala na waumini wa dhehebu la Baps Swaminarayan Sanstha, wakivuka mto
Minazini kwenda kujionea mafuliko yalivyowaathili wakazi wa eneo la Mponda
Mbagala jijini Dar es Salaam.
Waumini hao wakishusha misaada hiyo huku wakishuhudiwa na watoto wa eneo la mtaa wa Mponda Mbagala
Mathias John, akipatiwa msaada wa
vyakula baada ya kuathiliwa na mafu.liko mtaa wa Mponda
Bii Amina Omar akipatiwa msaada
Sudi Mbonde, akiwa na msaada wake baada ya kupewa
Muumini wa Dhehebu la Baps Swaminarayan Sanstha, akipiga picha
na watoto wa mtaa wa Mponda, baada ya kufika hapo kwa ajili ya kutoa msaada kwa
waathilika wa mafuliko yaliyotokea hivi
karibuni.
Watoto, wa mtaa wa Mpnda Mbagala, wakifurahi wakati ikishushwa misaada vya vyakula waliyoletewa na waumini wa dhehebu la Baps Swaminarayan Sanstha, ambapo zaidi ya wananchi 100 walipatiwa msaada ya vyakula jana.
Comments
Post a Comment