NAIBU SPIKA DK.TULIA ACKSON,AONGOZA WACHANGIAJI HOSPITALI YA NAMTUMBO ACHANGIA SHS.MILIONI 8
Naibu Spika Dk. Tulia Ackson (kushoto),
akimkabidhi Mkuu wa wilaya ya Namtumbo
Luckness Alima (watatu kushoto),
bango lenye fano wa hundi yenye thamani ya Sh milioni kutoka kwenye
taasisi yake kwa ajili ya kuchangia ujenzi wa Wodi ya akina mama Wajawazito na
chumba cha upasuaji katika hospitali ya Wilaya ya Namtumbo. Hafra hiyo
ilifanyika juzi.
Naibu Spika Dk. Tulia Ackson (kushoto), akimkabidhi Mkuu wa wilaya ya Namtumbo Luckness Alima (wapili kushoto), bango lenye fano wa hundi yenye thamani ya Sh milioni 8 kutoka kwenye taasisi yake kwa ajili ya kuchangia ujenzi wa Wodi ya akina mama Wajawazito na chumba cha upasuaji katika hospitali ya Wilaya ya Namtumbo. Hafra hiyo ilifanyika juzi. Kulia ni Mbunge wa Namtumbo Mhandisi Edwin.
Mkuu wa Mkoa Ruvuma Chilstina Mdeme akitoa shukurani kwa wadau mbalimbali waliojitokeza kuchangia ujenzi wa Wodi ya akina mama Wajawazito na chumba cha upasuaji katika hospitali ya Wilaya ya Namtumbo. Hafra hiyo ilifanyika juzi.
Mkurugenzi mtendaji wa Kampuni ya Mantra, Fredy kibodya, akizungumza katika harambee ya uchangiaji wa ujenzi wa Wodi ya akina mama Wajawazito na chumba cha upasuaji katika hospitali ya Wilaya ya Namtumbo. Hafra hiyo ilifanyika juzi
Naibu Spika Dk. Tulia Ackson (kushoto), akipongezwa na mmoja wa maofisa wa Wilaya ya Namtumbo bada ya kukabidhi bango lenye mfano wa hundi yenye thamani ya Sh Milioni 8 kwa ajili ya kuchangia ujenzi wa Wodi ya akina mama Wajawazito na chumba cha upasuaji katika hospitali ya Wilaya ya Namtumbo. Hafra hiyo ilifanyika juzi.
Mkuu wa wilaya ya Namtumbo, Luckness Alima akiria kwa furaha baada ya kuchangiwa sehemu ya fedha kwa ajiri ya ujenzi wa Wodi ya akina mama Wajawazito na chumba cha upasuaji katika hospitali ya Wilaya ya Namtumbo. Hafra hiyo ilifanyika juzi.
Naibu Spika Dk. Tulia Ackson, akipongezwa na Mkuu wa Wilaya ya Namtumbo Luckness Alima baa ya kuchangia ujenzi wa Wodi ya akina mama Wajawazito na chumba cha upasuaji katika hospitali ya Wilaya ya Namtumbo. Hafra hiyo ilifanyika juzi, kulia ni Mkuu wa Mkoa Ruvuma Chilstina Mdeme.

Comments
Post a Comment