RAIS MHE. DKT. MAGUFULI APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO KUTOKA WA MABALOZI 6 WANAOWAKILISHA NCHI ZAO HAPA NCHINI, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi wa Cyprus hapa nchini Andreas Panayiotou ambaye makazi yake yapo Muscat, Ikulu jijini Dar es Salaam.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi wa Bangladesh hapa nchini Maj. Gen. Abdul Kalam Mohammad Humayun Kabir mwenye makazi yake Nairobi, Ikulu jijini Dar es Salaam.

 



. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Balozi wa Nepal hapa nchini Amrit Bahadur  Rai ambaye makazi yake yapo Pretoria Afrika Kusini mara baada ya kupokea hati zake za utambulisho  Ikulu jijini Dar es Salaam.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi wa Ecuador hapa nchini Benys Toscano Amores ambaye makazi yake yapo Addis Ababa nchini Ethiopia.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi wa New Zealand hapa nchini Michael Gerrard Burrel ambaye makazi yake yapo Pretoria nchini Afrika Kusini.
 

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi wa Congo Brazaville hapa nchini  Guy Nestor Itoua ambaye makazi yake yapo Kigali nchini Rwanda
 Mawaziri na mabalozi wakisubili kuapishwa Ikulu leo Dar es Salaam
Wimbo wa Taifa ukipigwa wakai rais akiingia ukumbini kuanza shughuli ya kuapisha

: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimpongeza Dkt. Harrison Mwakyembe baada ya kumuapisha kuwa Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo, huku Waziri mpya wa Sheria na katiba Profesa palamagamba kabudi akiwa pembeni baada ya kuhitimisha hafla ya kuwaapisha mawaziri, mabalozi na Kamishna Ikulu jijini Dar es salaam leo
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimkabidhi nyenzo za kazi Profesa Palamagamba kabudi  baada ya kumuapisha kuwa Waziri wa Sheria na Katiba Ikulu jijini Dar es salaam leo
 Akimwapisha Kadata kuwa Katibu Mkuu Ikulu
 Akimwapisha Dk.Possi kuwa Balozi nchini Ujeruman
 Akimwapisha Job Masima kuwa Balozi nchini Islael
 Akimwapisha Mabumba kuwa Balozi nchini Comoroo
 Akimpa vitendea kazi
 Jaji Stella Esther Mugasha ambaye ameapishwa kuwa kamishna wa Tume ya Mahakama
W
Wakila Kiapo cha utii wa maadili

 Kamishna wa Maadili akiwaapisha
Wakisaini viapo vyao

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan, na viongozi wengine wakiwa katika picha ya pamoja na  waapishwa baada ya kuhitimisha hafla ya kuwaapisha mawaziri, mabalozi na Kamishna Ikulu jijini Dar es salaam leo 
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiongea na wanahabari wa vyombo mbalimbali baada ya kuhitimisha hafla ya kuwaapisha mawaziri, mabalozi na Kamishna Ikulu jijini Dar es salaam le, akisema nawapenda sana wanahabari





Comments

Popular posts from this blog

AJIRA MPYA 41,500 SERIKALINI ZATANGAZWA KATIBU MKUU UTUMISHI JUMA MKOMI

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

WALIOPITA KURA ZA MAONI CCM HAWA HAPA