AIRTEL YAINGIA SOKO LA HISA


Mkurugenzi Mkuu wa Airtel Tanzania, Sunil Colaso (kulia), akikabidhi kwa Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (CMSA), Godfrey Malekano, kabrasha lenye muhtasari wa mapendekezo ya kuomba kuorodhesha hisa zake katika Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE), jijini Dar es Salaam

 Mkurugenzi Mkuu wa Airtel Tanzania, Sunil Colaso (kulia), akikabidhi kwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE), Ibrahim Mshindo makabrasha yenye muhtasari wa mapendekezo ya kuomba kuorodhesha hisa zake katika soko hilo,  jijini Dar es Salaam

Mkurugenzi Mkuu wa Airtel Tanzania, Sunil Colaso (katikati), akikabidhi kwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE), Ibrahim Mshindo makabrasha yenye muhtasari wa mapendekezo ya kuomba kuorodhesha hisa zake katika soko hilo,  jijini Dar es Salaam jana. Kulia ni Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Airtel, Beatrice Singano.

Comments

Popular posts from this blog

AJIRA MPYA 41,500 SERIKALINI ZATANGAZWA KATIBU MKUU UTUMISHI JUMA MKOMI

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

WALIOPITA KURA ZA MAONI CCM HAWA HAPA