KAMATI YA BUNGE WILAYANI MASASI

 Abdallah Haji, mmoja wa wajumbe wa kamati ya bunge ya Maji, Mifugo na uvuvi, akiwaongoza wajumbe wenzake kutoka katika ofisi ya Mkuu wa wilaya ya Masasi baada ya mazungumzo kuhusu utekelezaji wa miradi ya maji katika wilaya hiyo.

 Mwenyekiti wa msafara huo, Amina Makilagi akizungumza na  mmoja wa viongozi wa wilaya hiyo

Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya MajiSafi na Usafi wa Mazingira Masasi na Nachingwe (MANAWASA), Nuntufye David, akitoa maelezo ya kwa wajumbe wa kamati ya bunge walipofika ofisini kwake kufahamu hali ya utekelezaji wa miradi ya maji kwa mamlaka hiyo.


 Mkurugenzi huyo alianza kuelezea mwanzo wa mamlaka hiyo, Mamlaka ya majisafi na Usafi wa Mazingira Masasi na Nachingwea (Manawasa) ilianzishwa rasmi na Waziri mmwenye dhamana ya maji 10.5.2013 kupitia gazeti la serikali (GN No 105. kuundwa kwa mamlaka hiyo kulitokana na kuvunjwa kwa bodi na Mamlaka za Majisafi na usafi wa mazinira za masasi na Nachingwea. Bodi ya Mwanawasa kwa mujibu wa sheria ya huduma za maji na usafi   wa Mazingira namba 12 ya mwa ka 209 the water supply and Sanitation Act no 12.2009shughuli za uendeshaji wa mamlaka za Majisafi na Usafi wa mazingira  husuimamiwa na Bodi za Wakurugenzi. Bodi ya Manawasa ina jumla ya wajumbe 10. kati ya hao wajumbe 4 wanatoka masasi na Wajumbe 4 wanatoka Nachingwea. Aidha Bodi hiyo ina katibu ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Manawasa na Mwakilishi mmoja kutokka Wizara ya maji.


 Wajumbe wa bodi hiyo wakiwa katika mkutano huo
 Kiongozi wa msafara akizungumza baada ya kusikiliza taarifa hiyo



 eneo ambako matanki ya kuhifadhia maji yalipo


wajumbe wakielekea kupanda tanki la maji la Migongo Mtandi kujionea ujenzi wake
 Wajumbe wakipanda
 kiongozi wa msafara hakutaka kuuziwa mbuzi kwenye gunia ilibidi nae apande ajioneaa lilivyojengwa na

 Wakijionea hali halisi

 Waliamua kupiga picha  ya ukumbusho huko juu




 Wanaanza kushuka baada ya kujionea


 Uzio ulivyowekwa kwa ajili ya kulilinda na wavamizi wa maeneo


 Baada ya hapo walitembelea Kituo cha Kuuzia maji cha  cha Mailisita


 Mkurugenzi, akiwaonyesha mzunguko wa maji unavyokuwa




Wakionyeshwa maabala ya maji





 Kiongozi wa msafara, akipanda kuangalia  lilivyo jengwa


 Eneo hilo huwa na ulinzi wa masaa 24
Wajumbe hao walitembelea eneo la mwosho katika ziara yao ya mikoa ya kusini  katika kituo cha kusukuma maji cha Mbwinji knavyopokea maji kutoka kwenye vyanzo vya asili vilivyo katika misitu wa wamefanya kazi ya kuyakinga hadi kuwafikia walaji
 Maji yakielekea kwenye tanki


 Muonekano kuyakinga maji yasipotee ili yaende moja kwa moja kwenye tanki











 Wajumbe na wenyeji wao wakipiga picha ya pamoja baada ya kujionea






 Misitu minene inayohifadhi vyanzo vya maji isikauke

 Wakati wa ujenzi huo walikata miti baada ya kumalizika ujenzi walipanda miti kama inavyoonekana katika picha
Nadhani unajionea msitu ulivyo huko mbele

 Wajumbne wakiagana



 Tanki la kugawanyisha maji kwenda Masasi na Nachingwea


 Msafara wa wajumbe hao ukaanza kukata mbuga kulejea Dar es Salaam, baada ya ziara ya siku sita kukagua miradi ya maji na kujionea maendelo makubwa, hivi sasa huki kusini kilio siyo maji tena kilo chao kikubwa ni Umeme ambao sio wa uhakika wanataka wauhakika ili mitambo ya maji isukumwe maji yaongezeke badala ya kutumia majenereta ya kutumia mafuta ya Dizeli

 hali hali ya huko nyumba lazima zizungukwe na minazi






 Kuelekea Dar

 Watoto wa shule wakiwa wamepewa rifti ya trekta kulejea makwao baada ya masoko


Hili ni daraja la Mkpa Rufiji  Mkoa wa Pwani

Comments

Popular posts from this blog

AJIRA MPYA 41,500 SERIKALINI ZATANGAZWA KATIBU MKUU UTUMISHI JUMA MKOMI

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

WALIOPITA KURA ZA MAONI CCM HAWA HAPA