MGOSI WA SUI KWA KUBOMU



Nikiikala hapa ku Daresalama, ninawaombea watoto wote wazuri na wabaya nyote sikukuu nyema yenye furaha na upendo. Hivi sasa naalikaga kutayarishaga singo yangu mupya mupya kabisa kkwa ajiliri ya Iddi hii, lakini produza  akasemaga ana makazi bwereree ya kina Dayamond na Omi Dimpoz hivyo singo yangu itatokaga kunako mwezi wa kenda. Haina neon lakini Iddi njema ku watoto nyote. Hivii unayesomaga huu ujumbe unaweza kunipaga hata kafaranga  laki moja hivi ya chaiii ya Idd  bandugu fanyeni wema kidogo tu mutapataga swawabu  kwa mungu. hakunaga mayele

Comments

Popular posts from this blog

AJIRA MPYA 41,500 SERIKALINI ZATANGAZWA KATIBU MKUU UTUMISHI JUMA MKOMI

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

WALIOPITA KURA ZA MAONI CCM HAWA HAPA