MATUKIO YA PICHA ZA BUNGENI LEO JIJIJINI DODOMA
Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson Mwansansu, akiongozwa na askari aliyechukua siwa tayari kuanza kipindi cha bunge leo asubuhi Spika Dkt. Tulia, akimkalisha chini mbunge wa Arusha Mrisho Gambo baada ya swala lake kupelekwa katika Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge Mbunge Mrisho Gambo, akitaka kutoa ufafanuzi kabla hajakalishwa chini na Spika Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora , George Simbachawene, akiwasilisha bajeti ya wizara yake leo Dkt. Tea Ntara, akiuliza swali bungeni leo WAZIRI wa Viwanda na Biashara,Dkt .Seleman Jafo (kushoto), akiwakalibisha bungeni wageni wake kutoka jimboni kwake Kisarawe walipofika bungeni leo Waziri Jafo akipiga picha na wageni wake Mbunge wa Viti Maalum Reginal Qwarai, akiwasili Bungeni Mbunge Mpembenwa, akiondoka bungeni katika kipindi cha mchana Mbunge Salma Kikwete, akipiga picha na wageni wake Spika aakiwa ameshikilia zawadi yake ya picha baada ya kupewa na wageni wake