Posts

KICHWA CHA SONGEA KUREJESHWA NCHINI BAADA YA MWAKA MMOJA

Image
Jemedari wa wangoni Nduna Songea Mbano aliyenyongwa na wajerumani yeye pamoja na mashujaa  66 wa vita ya majimaji Februari 27,1906 ,Hata hivyo wajerumani walikata kichwa cha Songea na kukipeleka nchini Ujerumani ambako kimehifadhiwa hadi sasa,serikali kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii inatarajia kurejesha nchini fuvu la kichwa cha Songea Mbano pamoja na malikale nyingine zilizopo nje. Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Mheshimiwa Mary Masanja akiweka silaha za jadi kwenye sanamu ndani ya Makumbusho ya Taifa ya Majimaji  kwenye kilele cha kumbukizi ya mashujaa wa vita ya majimaji mjini Songea Chifu wa Tano wa Kabila la Wangoni Nkosi Imanuel Zulu Gama baada ya kuweka  zana za vita za jadi zilizotumiwa na mashujaa wa vita ya majimaji ndani ya makumbusho ya Taifa ya majimaji mjini Songea kwenye kilele cha tamasha la kumbukizi ya mashujaa wa vita ya majimaji Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Mheshimiwa Mary Masanja akiweka shada la maua kwenye kaburi la pamoja ambalo wa...

EU YARIDHISHWA NA UBORESHWAJI WA HAKI ZA BINADAMU, UTAWALA BORA NCHINI

Image
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Stergomena Tax pamoja na Balozi wa Umaoja wa Ulaya nchini, Mhe. Manfredo Fanti wakionesha makubaliano waliyosaini baada ya majadiliano ya kisiasa kati ya Tanzania na Umoja wa Ulaya yaliyofanyika leo Jijini Dar es Salaam Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Stergomena Tax akichangia jambo wakati wa majadiliano ya kisiasa kati ya Tanzania na Umoja wa Ulaya. Majadiliano hayo yamefanyika leo Jijini Dar es Salaam Balozi wa Umaoja wa Ulaya nchini, Mhe. Manfredo Fanti akitoa mchango wake wakati wa majadiliano ya kisiasa kati ya Tanzania na Umoja wa Ulaya. Majadiliano hayo yamefanyika leo Jijini Dar es Salaam Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Stergomena Tax pamoja na Balozi wa Umaoja wa Ulaya nchini, Mhe. Manfredo Fanti wakionesha makubaliano waliyosaini baada ya majadiliano ya kisiasa kati ya Tanzania na Umoja wa Ulaya yaliyo...