Posts

WAUMINI WA DHEHEBU LA SWAMINALAYANI SANSTHA, WAKIGAWA MISAADA KUPITIA JUMUIYA YAO YA BAPS CHARITIES TANZANIA BAPS JIMBO LA MBAGALA DSM

Image
 Mbunge wa Jimnbo la Mbagala Issa Mangungu, akizungumza na baadhi ya  waumini w a dhehebu la Swaminaalayani sanstha nchini ya jumuiya yao ya  Baps Charities Tanzania, waliofika jimboni kwake kutoa misaada ya vyakula kwa waathilika wa mafuliko yaliyotokea hivi karibuni na kusababisha  hasara kubwa kwa wananchi hao zaidi ya kaya 200 kuachwa bila makazi  Waumini hao wakipakia misaada hiyo kwenye bajaji aina ya Toyo baada ya gari lao kushoindwa kupita kutokana na ubovu wa barabara katika jimbo hilo kama inavyoonekana  hapo juu.  Walikutana tatizo kubwa walilonalo wananchi wamewaomba wananchi wengine wenye kuguswa wawasaidie ,isaada mbalimbali , wenye kumwabudu mwenyezi mungu na wasiomwamini. ubinadamu kwanza.  Bajaji ikitoka kwa mbwembwe na mizigo lakini bita chache ilizaman na kushindwa kuendele na safari hadi walipoikwamua   Waumini wa dhehebu la Baps Swaminarayan Santha, wakijitahidi kuikwamua bajaji a...