AIRTEL YAINGIA SOKO LA HISA
Mkurugenzi Mkuu wa Airtel Tanzania, Sunil Colaso (kulia), akikabidhi kwa Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (CMSA), Godfrey Malekano, kabrasha lenye muhtasari wa mapendekezo ya kuomba kuorodhesha hisa zake katika Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE), jijini Dar es Salaam Mkurugenzi Mkuu wa Airtel Tanzania, Sunil Colaso (kulia), akikabidhi kwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE), Ibrahim Mshindo makabrasha yenye muhtasari wa mapendekezo ya kuomba kuorodhesha hisa zake katika soko hilo, jijini Dar es Salaam Mkurugenzi Mkuu wa Airtel Tanzania, Sunil Colaso (katikati), akikabidhi kwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE), Ibrahim Mshindo makabrasha yenye muhtasari wa mapendekezo ya kuomba kuorodhesha hisa zake katika soko hilo, jijini Dar es Salaam jana. Kulia ni Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Airtel, Beatrice Singano.