KAMPUNI YA ULINZI YA SGA YAWAPIGA JEKI WANABODABODA WA TANKI BOVU DAR
Mkurugenzi wa Kampuni ya SGA Security Eric Sambu, akiwasili katika eneo la Tanki bovu Dares Salaam leo kwa ajili ya kutoa msaada wa vizibao kwa waedesha pikipiki vitakao waonyesha kwambali hata wakati wa giza kwamba waendesha magari ili kupunguza ajali Mkurugenzi huyo akiwagawi madereva hao Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Ulinzi ya SGA Security, Eric Sambu (kushoto), akimkabidhi Fikira Timbila Refelective Jackets, kampuni hiyo ilitoa msaada huo kwa waendesha bodaboda wa kituo cha Tanki Bovu jijini Dar es Salaam jana katika maadhimisho ya siku ya Usalama sehemu za kazi ambayo ilisherhekewa kote Duniani. Msaada huo unatahamani ya Sh Milioni 4 Baadhi ya madereva hao wakiwa wamevaa baada ya kupewa