WAZIRI WA ULINZI DKT. RHIMO NYAHSAHO AFANYA KIKAO NA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE NUU
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama (NUU), Najma Murtaza Giga, akifungua kikao cha kamati yake na Maofisa wa Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT). Kikao hicho kilifanyika katika ukumbi wa Herman Sarwatt bungeni jijini Dodoma leo.
Waziri akifulahia jambo na Makamanda wa jeshi hilo baada ya kumalizika kikao
Waziri akifulahia jambo na Makamanda wa jeshi hilo baada ya kumalizika kikao
Comments
Post a Comment